TFF imetangaza kumfungia Obrey Chirwa wa Yanga


Baada ya wiki iliyopita kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania TFF kushindwa kufanya maamuzi ya kesi ya utovu wa nidhamu wa mchezaji wa kimataifa wa Zambia anayeichezea Yanga Obrey Chirwa kutokana na kushindwa kufika katika kesi hiyo. Jumapili ya January 14 2018 kamati ya nidhamu ya TFF ilikaa na kumsikiliza Chirwa kabla ya kutoa adhabu, Chirwa alituhumiwa kwa utovu wa nidhamu aliyouonesha wakati wa mchezo wa Yanga dhidi ya Tanzania Prisons.


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com