"Usimdharau pengine kesho yake ikawa ndio usalama wako"- Dogo Janja


Bado watanzania na mashabiki wa muziki wa dansi nchini hususani mashabiki wa Babu Seya na Papii Kocha wanasubiri kwa hamu ujio mpya wa Babu Seya na Mwanae Papii Kocha baada ya kutumikia kifungo cha maisha kwa miaka 13 jela. Babu Seya na mwanae Papii Kocha ikiwa ni mwezi mmoja na wiki moja imepita toka watoke gerezani wameanza kupiga show na nyimbo zao za zamani.
SUBSCRIBE Millard Ayo


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com