Alichozungumza Wakili wa 'Masogange' baada ya hukumu
Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ ameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kulipa faini ya Shilingi Milioni 1.5. Masogange alihukumiwa miaka 3 jela ama alipe faini ya Milioni 1.5 baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin na Oxazepam.
SOURCE Millard Ayo
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment