"Mrisho Mpoto amekurupuka kunijibu, aangalie tena"- STEVE NYERERE
Kupitia mtandao wa instagram waigizaji mbalimbali wameandika maoni yao na baadhi kuoneshwa kutoridhishwa kuhusiana ugawaji wa tuzo hizo akiwemo Steve Nyerere ambaye alionesha kutoridhishwa pia kwa upande wa Mrisho Mpoto ameonekana kupinga kile ambacho Steve Nyerere amekikosoa na kukiandika katika mitandao ya kijamii
SOURCE Millard Ayo
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment