Tausi kufunga ndoa "mwaka huu lazima niolewe"
Msanii kutoka kiwanda cha filamu, Tausi ameweka wazi kwamba tayari kuna mwanaume amejitokeza kwaajili ya kufunga naye pingi ya maisha. Muigizaji huyo ameyasema hayo Jumanne hii muda mchache baada ya uzinduzi wa kampeni mpya ya BongoMovie ya kuwahamasisha vijana kufanya kazi na kuacha kukaa vijiweni.
SOURCE Bongo5
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment