SIMBA SC 3-1 MBEYA CITY: FULL HIGHLIGHTS (VPL 12/4/2018)
Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika dimba la Taifa Dar es Salaam, mabao yote yakifungwa kipindi cha kwanza. Wafungaji upande wa Simba ni Emmanuel Okwi, John Bocco na Asante Kwasi huku bao la Mbeya City likifungwa na Frank Ikobela, ambapo mabao matatu kati ya hayo yamefungwa ndani ya dakika tatu. Tazama kwa ufupi mchezo ulivyokuwa.
SOURCE Azam TV
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment