Wasanii wachangishana kumzika Masogange


Msanii wa muziki na filamu pamoja na wadau mbalimbali wamechangishana pesa kwaajili ya kumzika video vixen, Agnes Masogange aliyefarika Ijumaa mchana akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Mama Ngoma Mwenge Dar es salaam.
SOURCE Bongo5

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com