Kama Ulimiss Bongo Star Search Madame Rita Mpya Amekuja


Mshindano Mengi yamepita ya kuibua vibaji vya wasanii wachanga hasa katika tasinia ya uimbaji lakini bado hayajaweza ufika kule ambapo Bongo Star sarch ilipo watoa wasanii na kuwafikishi juu kabisa ya mafaniko yao ya Kiuziki Kismart Media ya Jijini Arusha inaonyesha kwa vitendo namna ilivyo jipanga kurudisha hadhi ya mashindano yakukuza vipaji kwa vitendo Jumamosi hii ya tarehe 12/5/2018 Katika Ukumbi wa Tripal A jijini Arusha watapiga show zaidi ya wasanii 50 kuonyesha uwezo wao wa kuimba katika juukwa la kismart media 2018

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com