Mabibi na Mabwana MISS IFM 2018 kapatikana (FULL VIDEO)


Usiku wa May 11, 2018 ndio ilikuwa siku ya chuo cha usimamizi wa fedha (Institute of Financial Management) kumtafuta mrembo atakayerithi taji la umiss, ambapo mchujo ulifanyika na kupatikana TOP 5 na hatimae akafanikiwa kupatikana mshindi mpya wa mwaka 2018.
SOURCE Millard Ayo

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com