HARMONIZE KUFANYA SHOW KUBWA (KUSI NIGHT) SIKU YA IDD PILI NDANI YA DAR LIVE
EXCLUSIVE: Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka kundi la WCB Wasafi, Harmonize, ametembelea ofisi za Global Publishers na kuzungumza na waandishi wa habari kuhusiana na shoo yake kubwa kuliko itakayofanyika sikukuu ya Iddi pili katika ukumbi wa Taifa wa Burudani Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam. Harmonize pia amezungumzia mambo mablimbali ikiwemo sakata linaloendelea sasahivi mitandaoni kuhusiana na Diamond, Zari na Hamisa Mobeto.
SOURCE Global TV Online
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment