LIVE: Ibada ya Kuaga Mwili wa Mke wa Mwakyembe, KKKT Kunduchi-Dar
Mwili wa aliyekuwa Mke wa Waziri wa habari, Utamadubi, Sanaa
na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Bi. Linah George Mwakyembe
unatarajiwa kuagwa leo katika Kanisa la KKKT lililopo Kunduchi Beach
jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwenda wilayani Kyela mkoani
Mbeya kwa ajili mazishi.
SOURCE: Global TV Online
Post a Comment