(Video) Prof. Jay Afunguka Sababu ya Kufanya Harusi Yake Mara Mbili

Rapa nguli wa Bongo, Profesa Jay amefanya kwa mara ya pili sherehe ya ndoa yake baada ya kufunga ndoa July 9, na mpenzi wake wa siku nyini, Bi. Grace katika Kanisa la Mt. Joseph lililopo Posta ya Zamani jijini Dar.

Sherehe ya kwanza ya ndoa yake alifanya katika Ukumbi wa Mlimani City, siku aliyofunga ndoa, sherehe ambayo ilihudhuriwa na viongozi wengi maarufu wakiwemo Edward Lowassa, viongozi wa serikali, wananii na watu mbalimbali.

Siku chache baadaye alisafiri na kwenda Jimboni kwake Mikumi mkoani Morogoro ambako pia alifanya sherehe nyingine.

Akizungumza na wananchi wa Mikumi, Prof. Jay amefunguka kisa cha yeye kufanya maamuzi hayo, msikie mwenyewe akifunguka.

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com