Azam FC Yajiwinda Kuikabili Yanga
Timu ya Azam FC, imejichimbia Chamazi ikijifua kuelekea kwenye mchezo wake dhidi ya Yanga, unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi ya januari 27 katika Dimba la Chamazi. Akizungumza na waandishi wa habari, msemaji wa timu hiyo, Jafari Idd Maganga, amesema wamejipanga vyema na wanaendelea kijifua ili kuikabili Yanga na kwamba hawatazami rekodi ya mtu bali wanachokitaka ni ushindi na akasisitiza kwamba watawatandika Yanga. Akaongeza kwa kuwaomba mashabiki watakaohudhuria kwenye mechi hiyo, kuhakikisha wanatunza miundombinu ya uwanja huo.
SOURCE Global TV Online
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment