Just A Minute 24th January 2018 Prepared & Hosted by Jayjoe “Jizzle” aka MangiThe3rd


Yoo kutoka http://djchokamusic.com/ ya leo - leo hii hapa kabla haijachacha, ni juu ya #msanii wa #afropopmusic nchini #kenya, huyu hapa anafahamika kama Fena Gitu @fena_menal, Ameachia #ngoma #mpya ya #kwanza kwa mwaka huu #2018 akishirikiana na yule - yule #kachala wake ambaye alifanya naye ila ya #shedoinherthingtho mwishoni mwa mwaka jana. Uzuri ni kwamba sio #ngoma tu bali na #kichupa vile - vile ameachia hiki hapa kinaitwa #trouble … ndani ya video utakutana na Martin Kimathi ambaye ni #mtangazaji wa #luninga & pia yupo #mrembo & #naturalista Esther Wangoi. ____________ I know you gonna #love this one for sure!.

Keep em coming Fena!.
SUBSCRIBE DJChokaMusic


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com