DAKIKA 90 ZA YANGA VS MWADUI FC


Kocha George Lwandamina amelazimika kukaa jukwaani wakati timu yake ikipambana na Mwadui FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 Lwandamina alikuwa jukwaani na mmoja wa viongozi wa Yanga Omary Kaaya wakati Yanga ikipambana na Mwadui na taarifa zinasema kibali chake cha kazi kimeisha.

 "Juhudi zinaendelea na kibali kitapatikana hivi karibuni kwa kuwa uongozi ulishaanza kushughulikia," kilieleza chanzo. Kocha huyo raia wa Zambia, hivi karibuni alikuwa katika wakati mgumu alipolazimika kurejea kwao baada ya kufiwa na mwanaye.
SUBSCRIBE Global TV Online


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com