MSANII JOHARI APATA PIGO BAYA!


SO sad! Msanii wa filamu za Kibongo, Blandina William Wilbert Chagula ‘Johari’ yuko kwenye majonzi mazito kufuatia kufiwa na mama yake mzazi, Bi. Asha Chagula baada ya kuugua kwa muda mrefu. Akizungumza na Global TV Online kwa niaba ya wasanii wa filamu, Chiki Mchoma alisema mama Johari alifariki alfajiri ya leo, wakati akitibiwa kwenye Hospitali ya Hindu Mandal, jijini Dar ambapo anatarajiwa kuziwa kesho majira ya saa kumi jioni kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar. Taarifa za aina ya ugonjwa aliokuwa akiugua mama Blandina hazikuwekwa wazi hadi Timu ya Global TV Online inaondoka eneo la msiba, Mburahati, jijini Dar.


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com