Nuru The Light: Tanzania mtu akiachwa na mpenzi wake ni sherehe kwa wengine

Nuru The Light anaendelea na ziara ya vyombo vya habari kupromote single yake mpya iitwayo Umeniacha. Kwenye mahojiano haya anazungumzia kuhusu wimbo huo ambao ni mkasa wa kweli na kuelezea tabia ya watanzania wengine kushangilia pale mtu anapoachwa na mpenzi wake. Ameeleza pia kuhusu jinsi watu wanavyotumia vibaya mitandao ya kijamii hasa wanawake na mambo mengine
SOURCE Dizzim Online
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDatesINSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment