Tumeshachoshwa, BASATA mnakurupuka kufungia wasanii - Dudubaya

Baada ya Serikali kukazia suala la maadili kwenye video za muziki wa Bongo Fleva kwa kuanza kwa kuwahoji baadhi ya Wasanii akiwemo Gigy Money. Rapa Dudubaya amesema Tatizo lipo kwa BASATA ambao ndio walezi wa muziki wetu wamekuwa wakifungia kazi za wasanii kwa kukurupuka.
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment