Kifesi anena Mazito baada ya kuacha Kazi WCB
Aliekuwa mpiga picha wa muimba muziki maarufu Tanzania na dunian, Kifesi ambae amekuwa akimpiga picha kwa takribani miaka mitano ameamua kuacha kazi WCB kutokana na kile alichokisema kuwa ameamua kufanya hivi kutokana na kukosa muda wa kufanya ibada kutokana na siku ambazo ibada inafanyika mara nyingi anakuwa safarini kwaajili ya kupicha picha za show za WCB
SOURCE Muungwana Tv
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment