Salamu za Elizabeth Michael “Lulu” kutoka gerezani
Kuwa kwake gerezani hakujamfanya Lulu kuwasahau mashabiki wake na watu wote wanaomtakia mema katika kipindi hiki kigumu anachopitia, kutoka kwa Dr Cheni ambaye ni moja kati ya watu wa karibu na Lulu ameweka wazi salamu za Lulu kutoka gerezani na msaada alioutoa.
SOURCE Millard Ayo
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment