RC Makonda "Msako wa wanaume waliotelekeza watoto unaanza"
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema baada ya akina mama wengi waliotelekezwa na waume zao kujitokeza kwa wingi ofisini kwake kwaajili ya msaada ya kishiria, ambapo amesema baada ya kuwasikiliza wiki hii ataendesha msako kwaajili ya kuwakamata wanaume hao.
SOURCE Bongo5
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment