(Video) NANE WAFARIKI PAPO HAPO KATIKA AJALI JIJINI MBEYA
Watu nane wamefariki dunia papo hapo baada ya magari mawili, gari moja la abiria na Noah kugongana uso kwa uso katika eneo la Igodima Jijini Mbeya.Ajali hiyo imetokea majira ya saa tano asubuhi ambapo abiria wote waliofariki walikuwa katika gari aina ya Noah ambayo ilikuwa imebeba watu waliokuwa wakielekea msibani Jijini Mbeya.
SOURCE MbeyaYetuOnlineTV
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment