Mbao FC imemtangaza kocha mpya leo baada ya Ettiene


Club ya Mbao FC ya jijini Mwanza baada ya kocha wao mkuu Ettiene kuihama club hiyo na kuamua kujiunga na club ya KMC ya Manispaa ya Kinondoni, leo club hiyo imeamua kumtangaza kocha wao mpya, Mbao FC mbele ya wadhamini wao wakuu GF Trucks wamemtangaza Amri Said kuwa kocha wao mpya mkuu na ataanza kukinoa kikosi hiko kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu msimu wa 2018/19.
SOURCE Millard Ayo

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com